Ms Fawwie: Mwanadada CLASSIC Afrika Mashariki Nzima!!!!...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/ms-fawwie-mwanadada-classic-afrika.html
Anaitwa Ms Fawwie kutoka Kenya, sijui ni 0.5 wa kutoka nchi gani. But
ninachojua mimi ni mtu anaejishughurisha na FASHION (makeup&fashion
guru Inventor of the phrase ).....Anajuana na mastaa wengi sana hapa
AFRIKA MASHARIKI (Kutokana na shughuri zake).......Mbali na kuwa mzuri
huyu mwanadada ana-CLASS ya juu sana...yaaani sijui
nisemaje......Nadhani ukicheki picha zake hizi utanielewa








