NOMA SANAAA: MCHECK CHRIS BROWN JELA ILIVYOMBADILISHA NA KUWA KIBONGE ... JELA ZA MBELE MPAKA RAHA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/noma-sanaaa-mcheck-chris-brown-jela.html
Picha za kwanza tokea Chris Brown
atoke Jela zimetoka na kama wengi mlivyotegemea mtu akitoka jela za
bongo anakua amekonda basi jiulize tena coz jamaa katoka jela huku akiwa
ameongezeka unene hadi mtu unaweza kumuita kibonge. Birthday yake ya
kusherekea miaka 25 ilikua tarehe 5 mwezi wa tano
lakini sababu alikua yupo jela wakaamua kuiunganisha na sherehe ya kukaribishwa nyumbani .
Huku akiwa amevalia nguo za kijeshi ambazo kibongobongo lazima wakukamate ni wazi Chris alikua ameongezeka uzito lakini akiwa mwenye afya nzuri. Inaelekea maisha ya jela yalikua mazuri sana kwa Chris.Kilichobaki kwa chris sasa ni kutoa ring yake puani na kuanza kuachia ngoma kali.

Chris Brown aliachiwa tarehe 2 mwezi wa 6 baada ya kukaa jela kwa siku 59. Kwenye Sherehe hiyo kulikua na mama yake, girlfriend wake Karrauche Tran, Tyga, T-Pain na bikini models wa kutosha.

Worth the wait: Chris gave his girlfriend Karrueche a big kiss at the bash that she arranged

She's with him: Karrueche showed how much she missed Chris too while he was in jail by cuddling up to him some more

Armful: Chris hugged Karrueche and a lady friend at the fun party

Slimmed down: Chris shows off his chest while on stage at the American Music Awards in 2012

Party time: Chris' friends rolled up to celebrate his release

Catching up: Brown made sure to chat with his friends at the party