Flatnews

NIGERIA WAFUFUA MATUMAINI YA AFRIKA KOMBE LA DUNIA


article-2664718-1F00AA0900000578-458_634x490

Mshambuliaji wa Nigeria  Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa  Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.
BAO pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter  Odemwingie katika mchezo wa kombe la dunia  limeipa ushindi muhimu timu ya taifa ya Nigeria dhidi ya Bosnia.
Kwa matokeo hayo, Bosnia wameshaaga mashindano yao ya mara ya kwanza ya kombe la dunia
Bosnia walipoteza mechi ya ufunguzi kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Argentina 
Back of the net: Odemwingie's low effort goes through the legs of his Stoke team-mate Begovic
 Kitu kambani: Odemwingie  akiwa ametumbukiza mpira nyavuni.
Relief: Odemwingie (left) celebrates his goal with assist-maker Emmanuel Emenike (right)
Odemwingie (kushoto) akishangilia bao lake baada ya kupokea pasi kutoka kwa  Emmanuel Emenike (kulia).(P.T)
Centre of attention: Odemwingie is hugged by his team-mates and substitutes after finding the net
Odemwingie akipongezwa na wachezaji wenzake. Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama zilizotolewa ni chini ya 10.
Kikosi cha Nigeria: Enyeama 7, Oshaniwa 6, Yobo 6, Omeruo 6, Ambrose 6, Onazi 7, Mikel 6,  Babatunde 6 (Uzoenyi 75), Musa 7 (Ambeobi 66 5) Odemwingie 8, Emenike 7
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ejide, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Moses, Odunlami, Azeez, Nwofor, Uchebo, Agbim.
Kadi ya njano: Mikel
Mfungaji wa goli: Odemwingie

Kikosi cha Bosnia-Herzegovina: Begovic 7, Mundza 6, Sunjic 6, Spahic 5, Lulic 6 (Salihovic 58 6), Besic 7, Misimovic 6, Medunjanin 6 (Susic 64 5), Hajrovic 6 (Ibisevic 57 6), Pjanic 8, Dzeko 6 

Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Bicakcic, Kolasinac, Vranjes, Ibricic, Visca, Hadzic, Avdukic.
Kadi ya njano: Medunjanin
Mwamuzi: Peter O’Leary (New Zealand)
*Viwango vya wachezaji na Joe Bernstein
No way past: Bosnia striker Edin Dzeko (right) is brought down by a tackle from Nigeria's John Obi Mikel
 Hakuna njia: Mshambuliaji wa Bosnia,  Edin Dzeko (kulia) akiangushwa chini na kiungo wa Nigeria  John Obi Mikel
Come back! Bpsnia's Muhamed Besic (right) grabs the foot of Nigeria midfielder Michael Babatunde
Rudi hapa wewe!: mchezaji wa Bosnia,  Muhamed Besic (kulia) akivuta kiatu cha Michael Babatunde baada ya kuzidiwa maarifa.

Post a Comment

emo-but-icon

item