Flatnews

MWANAMUZIKI MAARUFU AFARIKI DUNIA



Mwanamuziki wa Nigeria aka Naija Cynthia Akudo Jonah maarufu kwa jina la Cynthomania or Ada Owerri amefariki dunia.
Cynthomania hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya 'Ukwu Ajebutter' na akiwa anajiandaa kutoa albamu yake ya kwanza umauti ukamfika. Rest In Peace Ada na kwa habari zaidi utazipata hapa hapa

Post a Comment

emo-but-icon

item