Flatnews

MSANII MAARUFU ANAEJULIKANA KWAJINA LA JUSTIN BIEBER APATA AJALI

Justin Bieber amepata ajali ya gari jana mchana huko Beverly Hills wakati akiwakwepa mapaparazi waliokuwa wakimfuata

Justin Bieber amepata ajali ya gari jana mchana huko Beverly Hills wakati akiwakwepa mapaparazi waliokuwa wakimfuata

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, msanii huyo alikuwa amekaa kwenye kiti cha abiria kwenye gari aina ya Escalade wakati ajali hiyo inatokea na haraka alihamishiwa kwenye gari nyingine.Hata hivyo, Hakuna aliyeumia kwenye ajali hiyo.

Picha Za Ajali Hiyo

Post a Comment

emo-but-icon

item