MISS TANZANIA AWASILI DODOMA , APATA CHAKULA CHA USIKU NA WAREMBO MISS KANDA PALE DODOMA CARNIVAL, MASHINDANO KUFANYIKA LEO UKUMBI WA KILIMANI CLUB
Miss Tanzania 2013/2014 Happiness Watimanywa amewasili Mjini Dodoma katika Mshindano ya Miss Kanda kati ambayo yanafanyika leo Ijumaa ...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/miss-tanzania-awasili-dodoma-apata.html
Miss Tanzania 2013/2014 Happiness Watimanywa amewasili Mjini Dodoma katika Mshindano ya Miss Kanda kati ambayo yanafanyika leo Ijumaa Mjini Dodoma katika Ukumbi Mpya wa Kilimani, |
Miss Tanzania Happiness Watimanywa aliapata nafasi ya kukutana na warembo na kubadilishana mawazo wakati wakipata chakula cha Usiku pale Dodoma Carnival. |