Waziri
mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza na
sheikh mkuu mkoa wa Dodoma, sheikh Adam Zubeir wakati alipokwenda
kumjulia hali, nyumbani kwake Kikuyu Flats.
Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni