MASOGANGE: RAFIKI ZANGU WALITAMANI NIFIE JELA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/masogange-rafiki-zangu-walitamani-nifie.html
Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka
kuwa kuna baadhi ya rafiki zake walifurahia alipokamatwa na mzigo wa
matirio yaliyodhaniwa ni unga Mei, mwaka jana nchini Afrika Kusini.
Akizungumza
mitandaoni, mrembo huyo ambaye kwa sasa amehamishia makazi yake
Johannesburg, Sauzi alisema: “Kuna marafiki zangu wengine walikuwa
wanapenda nikae ndani, si unajua sisi hatupendani?
“Mimi
naweza nikakupenda wewe ukiwa na kitu, lakini mimi nikipungukiwa na
kitu fulani huwezi kuwa rafiki yangu tena sababu Agness kakwama kitu
fulani, kwa hiyo atakuwaje rafiki yangu?
“Wengine walikuwa wakiongea Agness alikuwa anaringa bora aende jela.”
“Wengine walikuwa wakiongea Agness alikuwa anaringa bora aende jela.”

