MARIO BALOTELLI APIGA SWAGA KAMA KAWAIDA YAKE BAADA YA KUWANYAMAZISHA ENGLAND KOMBE LA DUNIA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/mario-balotelli-apiga-swaga-kama.html

Mario Balotelli akishangilia bao lake baada ya kuifungia Italia bao la pili katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya England.

Anapaa juu: Balotelli akiruka juu na kumzidi Gary Cahill na kuzamisha mpira nyavuni

Super Mario: Balotelli akipongezwa na wenzake baada ya kufunga.

Tumewafumua 2-1: Mario
Balotelli akionesha vidole vyake kwenye kamera wakati akitembea uwanjani
baada ya dakika 90 akimaanisha wamewafunga England mabao 2-1.

Nambo moja, kaeni kimya: Balotelli akitoa ishara ya kuwanyamazisha watazamaji wa TV majumbani, hahahahah!