MAMA ZITTO KABWE AFARIKI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/mama-zitto-kabwe-afariki_3033.html
Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida Salum enzi za uhai.

MAMA
mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, Bi. Shida
Salum amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es
Salaam!