Flatnews

LUIS SUAREZ SASA ASHIKA NAFASI YA TATU KATIKA ORODHA YA WACHEZAJI WENYE THAMINI KUBWA BARANI ULAYA, LAKINI LIONEL MESSI NI HATARI MNO...!


Hit man: Luis Suarez was the Premier League's top scorer last season with Liverpool

Luis Suarez ameshika nafasi ya tatu katika orodha ya wachezaji wenye thamani zaidi barani Ulaya kuelekea majira ya usajili wa kiangazi na hii ni kutokana na ripoti mpya zilizotolewa na kuchapishwa leo ambapo mshambuliaji huyo wa Liverpool sasa ana thamani ya angalau kuanzia paundi milioni 79.
Lionel Messi wa Barcelona ndiye anayeongoza kwa bei yake inayoanzia paundi milioni 161.6 na nyota wa Real Madrid anashika nafasi ya pili na bei yake inaanzia puandi milioni 85, na hii imetokana na utafiti uliofanywa na  Swiss-based expert ‘think tank’.
Revealed: The 20 most valuable players in Europe
Genius: Messi didn't have his best season at Barcelona, but is still the most valuable player in the world
Wizard: Ronaldo was named Ballon d'Or winner, with the Portugal striker enjoying a superb campaign
Mchawi: Ronaldo alitajwa mshindi wa Ballon d'Or  na alifurahia mafanikio ya UEFA
Belgian baller: Eden Hazard playing for Chelsea against PSG
Biggest stage: Gareth Bale scored in the Champions League final against Atletico Madrid
Mchezaji ghali zaidi duniani, Gareth Bale, ameshika nafasi ya saba

Post a Comment

emo-but-icon

item