KILI TOUR ILIVYOFUNIKA MBAYA MKOANI IRINGA {PICHA}
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/kili-tour-ilivyofunika-mbaya-mkoani.html
Watanga zaji wa EATV,Sam misago na Dullah kwenye stage ya kili tour iringa.
Snura akiwa kwenye stage ya kili tour. Snura akiwa kwenye jukwa la kili tour mkoani iringa.
Izo biziness akiwa na rich mavoko wakiwa kwenye back steji Msanii wa kike mwasiti akiwa kwenye jukwaa la kili tour mkoani iringa
Mwasiti akiwa jukwani na shabiki wake
Prof: jay akisubiri kupanda kwenye stage Prof:jay akiwa kwenye stage ya kili tour Mashabiki wa mkoa wa iringa akionesha tisht iliyo kuwa ikimkumbuka ngweir Mwana fa akiwa na G nako, kwenye jukwaa la kili tour iringa.

Mtangazaji wa EATV.Dickson msami akiwa namuhoji rich mavoko.