Flatnews

KAULI YA WEMA SEPETU BAADA YA PICHA YA MAMA YAKE MZAZI KUEDITIWA NA KUWA CHAFU KAMA ZA KOMBA


Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema na Kuiedit na kumzalilisha mama wa watu Bila Kosa lolote kisa ni Huyu Dengue ni Team tofauti na ile ya Wema , Ki ukweli Imesikitisha Wengi sana ....Baada ya Watu wengi kulaani hicho kitendo Mwenye Account hiyo ali delete picha lakini akawa imeshasambaa sana kwa watu ...

Wema Kwa uchungu aliandikia Message hii hapa chini kwa uchungu:

Post a Comment

emo-but-icon

item