Harusi Ya Mbunge Nassari Ilivyofana Arusha...! HARUSI YA MH,NASSARI ILIVYOFANA ARUSHA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/harusi-ya-mbunge-nassari-ilivyofana.html


Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari jana amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto.
Sherehe hiyo ilianza saa 7:00 mchana ambapo watu wote walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa na wananchi wote wa Arumeru Mashariki ambao wamepiga 'mpunga' wa kutosha na vinywaji hadi kila mtu akaondoka akisema 'Nassari ameacha historia'.
CHANZO: Mitandao ya Kijamii.
