Flatnews

HABARI PICHA: BUNJU KWA YESU, MLIMA WA MOTO WAFUNGUA TAWI


Ilikuwa ni Furaha kwa watu waliojitokeza siku ya jumapili maeneo ya Bunju B kushuhudia kanisa la Mikocheni B Assemblies of God (MLIMA WA MOTO) linalosimamiwa na Mheshimiwa Mchungaji Kiongozi, Dkt Gedrude Pangalile Rwakatale likifungua tawi lake jipya.
Tawi hilo jipya linaitwa MLIMA WA MOTO BUNJU ambapo katika ufunguzi huo watu mbalimbali walijitokeza pamoja na waimbaji wa nyimbo za injili, huku pia ufunguzi huo ukienda sambamba na mkutano wa injili ambao unaendelea kwa wiki nzima.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio zikionyesha jinsi hali ilivyokua

KANISA LA MLIMA WA MOTO BINJU LINAVYOONEKANA KWA NDANI

UPANDE WA KUSIFU ILIKUWA NI NJEMA


Masanja Mkandamizaji akiwa ameungana na watu wengine kusifu


Stanley akiwahi kufanya majukumu yake katika sherehe hiyo

MASANJA MKANDAMIZAJI NAE ALIKUWEPO KATIKA KUIMBA



Meneja wa Praise Power Radio George Mpela akiteta jambo na masanja
VIONGOZI MBALIMBALI
Mchungaji kiongozi wa Mikocheni B Dr Getruda Lwakatale (wa tatu toka kushoto) akiwa pamoja na wahubiri wamkutano huo kuoka Burundi (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na muhubiri toka Kenya



Mchungaji Noel Lukumai akielezea jambo

Mchungaji Dr Lwakatale akizungumza na makutano

SEHEMU YA WATU WALIOJITOKEZA



Hayo ndio baadhi ya matukio katika picha yaliyojiri katika ufunguzi wa kanisa jipya Mlima wa Moto Bunju,. Endelea kutembelea Gospel Kitaa na kulike ukurasa wa facebook kwa habari mbalimbali zaidi .

Post a Comment

emo-but-icon

item