Flatnews

BIG BROTHER AFRICA 2014 YATANGAZA TAREHE YA USAILI KWA TANZANIA

Feza Kessy


Feza Kessy
Shindano la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili katika nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku kwa Tanzania tarehe ya usaili ikipangwa kuwa 11-12 July katika hoteli ya New Africa Hotel, Dar es salaam. Mshindi wa mwaka huu atajinyakulia kitita cha $300,000.

Nando

Post a Comment

emo-but-icon

item