YASEMEKANA LAKINI HUYU NDIYE MREMBO WA OMMY DIMPOZ...TAZAMA PICHA YAKE HAPA.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/yasemekana-lakini-huyu-ndiye-mrembo-wa.html
Mastaa
wa muziki wa Marekani wanafahamika kwa desturi yao kuwatambulisha
wapenzi wao hadharani na kwenda nao kwenye matukio mbalimbali. Tanzania ni tofauti hatahivyo. Ni mastaa wachache wenye ujasiri wa kuwaweka hadharani wapenzi wao, mfano mzuri akiwa Diamond Platnumz. Mastaa wengine akiwemo
Ommy Dimpoz hawajawahi kuwatambulisha wapenzi wao hadharani labda kama ni tetesi tu. Ommy Dimpoz ameshare