Wema Sepetu na kiwaluwalu cha kwenda kwenye tuzo za BET
Madame Wema Sepetu ameonesha kuwa na kiwaluwalu cha safari ya kwenda Marekani kwenye tuzo za BET ambazo mpenzi wake Diamond ni miongoni mw...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/wema-sepetu-na-kiwaluwalu-cha-kwenda.html
Madame Wema Sepetu ameonesha kuwa na kiwaluwalu cha safari ya kwenda
Marekani kwenye tuzo za BET ambazo mpenzi wake Diamond ni miongoni mwa
wanamusiki kutoka Afrika walioteuliwa kushindania tuzo hizo kwa mwaka
2014, zitakazofanyika tarehe 29 mwezi ujao.....
Kiwaluwalu hicho amekionyesha hapo jana kupitia ukurasa wake wa
INSTAGRAM...baada ya kuweka picha ya ndungu zake walioko Marekani na
kusema amewakumbuka sana ila hivi karibuni wataonana kwani tuzo za BET
zimekaribia.
You two are reeeeeaaaally missed... But BET is jus around da corner... Ama see you guys soon... I love you dada zangu... #myBeautifulSisters#FirstBorn#ThirdBorn#sisterLove#unconditionalLove#PureLove#fromTheHeart������ @tsepetu @ssepetu @nsepetu .... Mmmmh i wonder kwanini na mimi sikuwa @wsepetu.... Tungetisha Sepetuzzzz.... ����by Wema Sepetu.
Nakuweka picha hii
Sasa kama umemsoma vizuri....hapo ISHUilikuwa BET na sio kumiss watu!!!!! Hahaha watu kwambwembewe