Malawi: Tatizo la kiufundi katika zoezi la kupiga kura
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/malawi-tatizo-la-kiufundi-katika-zoezi.html

Hata
hivyo tume ya uchaguzi nchini humo, imetangaza kuwepo kwa matatizo ya
kiufundi katika mfumo mzima wa kuhesabu kura hatua inayosababisha kura
kuhesabiwa kwa kasi ndogo. Frank Kandu ni mwandishi habari anayeishi
mjini Blantyre na Amina Abubakar amezungumza naye na kwanza anaelezea
jinsi mambo yalivyo kwa sasa.
Siku
mbili baada ya wamalawi kupiga kura bado raia wa nchi hiyo wanasubiri
matokeo ya uchaguzi kujua ni nani atakayewaongoza kwa miaka mitano
ijayo.