Unafahamu kwanini Jaguar wa Kenya hakuja kwenye tuzo za KILI juzi?
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/unafahamu-kwanini-jaguar-wa-kenya.html
Enjoy unlimited news and entertaiment
Post
hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5
ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku
orodha hiyo ikiwa na watu wengine kama Jose ChameleoneImefahamika kwamba
Jaguar alikataa kuja kwenye tuzo za Kili 2014 alizokua nominated baada
ya waandaaji kushindwa kufikia masharti aliyowapa na badala yake akaamua
kwenda kuhudhuria harusi ya producer wa DNA aitwae Refigah.