Flatnews

SALAMA JABIR AKUTANA USO KWA USO NA MCHEZAJI WA MPIRA WA KIKAPU SHAQ O’NEALL NCHINI MAREKANI

Salama Jabiri akiwa mitaa yake



Salama Oklahoma
Salama Jabiri akiwa mitaa yake
Mtangazaji asiyehishiwa na  vituko kila kukicha wa kipindi cha Mkasi Tv  ‘Salama Jabir’ au Kistuli ameachia picha za kutosha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiponda raha  nchini Marekani sambamba na familia ya mcheza kikapu wa ‘Oklahoma City Thunder’ Mtanzania  Hasheem Thabeet .Akiwa nchini humo,  Mtangazaji huyo ameweza kupata  nafasi ya kutokelezea katika picha ya pamoja na wachezaji maarufu wa mpira  wa kikapu akiwemo ‘Shaquille O’neal’ pamoja  ‘Carlos Boozer’ AKA CB anayechezea Chicago Bulls. Unaweza ukatazama picha hapo chini
Salama JabirSalama akiwa na Hasheem Thabeet pamoja mdogo wa mcheza kikapu huyo Barrthabeet wa kwanza kushotoSalam na ShaqHapo sasa, Salama meno 32 yote nje huku akipata uSelfie na mcheza kikapu Shaquille O’neal. Lol!
Salam Jabir Mkasi  Salama, Carlos Boozer na BarrthabeetSalama J_
Barrthabeet, Dully Boy na Salama mitaa fulani hivi.
Salama na Familia ya Mcheza kikapu Hasheem Thabeet
salama akiwa na familia ya Hasheem Thabeet kwenye hafla ya kumpongeza dada wa Hasheem ‘Sasha Thabeet’  kwa kuhitimu masomo yake .

Post a Comment

emo-but-icon

item