Huwezi amini Diamond Kachomoa hii offer…..
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/huwezi-amini-diamond-kachomoa-hii-offer.html
Kama
unapenda kujua yote kuhusu Diamond basi hapa ndio umefika kwani hivi
karibuni jamaa alifuatwa na agent kutoka Kenya anaepeleka wasanii nchini
Dubai kwa ajili kwa kupiga show lakini kitu cha ajabu mkali huyo
alichomoa offer.Jamaa tayari alikua ameweka dola za kimarekani elfu kumi
na tano ( $ 15, 000) za kwenda kupiga show Dubai. Mkali huyo aliendelea
na msimamo wake huo bila ya kupepesa macho kwamba hapigi show hiyo kwa
kiasi hicho
cha dola, bila ya kusita wala kuwaza mara mbili alisimamia msimamo wake kwamba lazima dola 20 bila ya kupungua hata dola moja. Mkali huyo pamoja na kubembelezwa kila namna lakini alimtaka agent huyo akubali hela hiyo otherwise apotezee kazi hiyo. Big up Diamond kwa kujitambua katika sanaa yetu kwani kusimamia kipato ni jukumu lako na pia ni kusaidia wasanii wadogo kukua haraka.