Picha Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Dkt. Mahadhi Juma Maalim Ampokea Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam, Mhe. Nguyen Phuong Nga
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/picha-kutoka-wizara-ya-mambo-ya-nje-na.html
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi
Juma Maalim (Mb.) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa
Vietnam, Mhe. Nguyen Phuong Nga mara baada ya kumpokea katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Nguyen yupo nchini kwa ziara
ya kikazi ya siku tano.
Mhe.
Dkt. Maalim na Mhe. Nguyen wakizungumza huku Balozi wa Vietnam nchini,
Mhe. Vo Thanh Nam (kushoto), Bw. Nathaniel Kaaya (kulia), Mkurugenzi
Msaidizi katika Idara ya Asia na Australasia na Bw.Emmanuel Ruangisa,
Afisa Mambo ya Nje wakifuatilia mazungumzo hayo.