Flatnews

MWANAJESHI APEWA KICHAPO KIKALI NA ASKARI WA USALAMA! ONA HAPA




Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.
Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao?

Post a Comment

emo-but-icon

item