Makamu wa Rais Dkt. Bilal Akutana na Kuzungumza na Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa Kiwanga cha Mgololo (W) Mufindi
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/makamu-wa-rais-dkt-bilal-akutana-na.html
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya na Mufindi wlioongazana na baadhi
ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, wakati walipofika Ofisini kwa
Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo

akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mufindi na
baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, waliofika Ofosini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Mei 7, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR