KAMBI RASMI YA UPINZANI YATOA MSAMAHA KWA JAJI WEREMA, SIKILIZA HAPA KAULI YAO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/kambi-rasmi-ya-upinzani-yatoa-msamaha.html
Kwa
maneno ya siku hizi ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji
Fredrick Werema ‘amelikoroga na kulinywa mwenyewe’, baada ya jana kutoa
kauli ya kuudhi alipomtaka mbunge kutoka Zanzibar akaulize swali lake
visiwani humo, iliyosababisha baadhi ya wabunge kususia Bunge na kutoka.
Lakini hatimaye leo kambi rasmi ya upinzani imetoa majibu ya msamaha
baada ya msamaha huo kuwasilishwa na James Mbatia kwa niaba ya kambi
hiyo,