JB : MAJUNGU YANANITESA KILA KUKICHA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/jb-majungu-yananitesa-kila-kukicha.html
BABA
la baba, Jacob Steven ‘JB’ amenyanyua kinywa chake na kutamka kuwa
anateswa na majungu katika fani hivyo angekuwa na mbadala wa kazi,
angechepuka.
BABA la baba, Jacob Steven ‘JB’
Akistorisha
na gazeti hili hivi karibuni, JB alisema licha ya umri wake mkubwa
katika tasnia ya filamu lakini suala la majungu limekuwa likimtesa na
mbaya zaidi ni ngumu kulidhibiti.
“Kusema
ukweli majungu ni mengi kiasi ambacho kungekuwa na mbadala wa kazi
ningefanya ili niwaache na majungu yao ya kila kukicha,” alisema JB.
