Diamond Platnumzi azidi kukimbiza kwa Kura Tuzo za BET
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/diamond-platnumzi-azidi-kukimbiza-kwa.html
Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
Msanii wa
muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz amekuwa
akiongoza katika upigari kura wa kuwania tuzo za Muziki wa Televisheni
ya Watu Weusi Marekani (Black Entertainment Television-BET) katika
kipengele cha Best International Act: Africa. Tuzo hizo zitatolewa
jijini Los Angeles, Marekani Juni 29. Mpaka jioni hii Diamond alikuwa
anaongoza kwa asilimia 75.79
