DIAMOND PLATNUMZ SASA AONGOZA KWENYE TOP 20 ZA KORA, ENDELEA KUMPIGIA KURA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/diamond-platnumz-sasa-aongoza-kwenye.html
Msanii
Pekee katika Tuzo za Kora kwa Mwaka huu Kutoka Tanzania Ameweza kuwa
katika nafasi nzuri katika Week ya 17 kwa Kushika namba Moja katika Top
20 ya chart za KORA.
Hii
haitoshi Ukiwa kama Mtanzania Tuungane wote kwa Pamoja Kuendelea
Kumpigia Kura Msanii wetu pekee kutoka Tanzania Diamond Platnumz hatimae
Aibuke Mshindi katika Tuzo hizo.
Unachotakiwa Ni Ku like Page ya Kora ( KORA AWARDS )na Ku comment jina LaDiamond Platnumz, Usiongeze neno jingine ili kura yako isiharibike.
Tuungane kwa Pamoja Ilikuleta Heshima kwa wasanii wa Nyumbani

