Flatnews

BASI DOGO AINA YA COASTER LAPATA AJALI MOMBO NA KUJERUHI KADHAA



Ajali imetokea mombo leo hii. Coastal iliyoanguka ilikuwa na watu 25, Mungu kasaidia hakuna aliyekufa. Hongereni sana madaktari wa Magunga kwa kazi nzuri! - Mkuu wa wilaya ya Lushoto, Mrisho Gambo. 



 Tunawapa pole majeruhi wote na tunawatakia nafuu ya haraka

Post a Comment

emo-but-icon

item