Bango la Matangazo Barabarani Laangukia Gari Round About Kawe
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/bango-la-matangazo-barabarani-laangukia.html
Serikali
ipige marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango karibu
na Barabara ya wekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara kuu hili
limeanguka Round about ya Royal
Oven njia ya kwenda Lugalo Golf course (Avacado)Na hii siyo mara
yakwanza mabango kuanguka kunasiku pale katika ya seilender bridge na
Kinondoni lilianguka uzuri kulikuwa katika mikoko!

