Flatnews

ANGALIA VIDEO YA MAZISHI YA ADAM KUAMBIANA JANA



Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar siku ya jana. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu ya watu pamoja na watu mashuhuri pamoja na viongozi wa kisiasa nchini katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi. AMEN!

Post a Comment

emo-but-icon

item