Flatnews

ANGALIA TWEET YA LADY JAY DEE KUHUSU TUZO ZA KILL TI HAJUI KAMA ZIMESHAFANYIKA


Lady Jaydee alishinda tuzo mbili mwaka huu kwenye KTMA lakini kwasababu ambazo hajazisema,hakuwepo mwenyewe kuchukua tuzo hizo, shabiki yake akamuuliza kupitia twitter na Lady Jay Dee Akamjibu Kwani Zimeshafanyika? Akiwa na Maana Hajui kama Tuzo hizo zilishafanyika na Hajui kama Alishinda...

Post a Comment

emo-but-icon

item