Flatnews

ANGALIA PICHA AJALI MBAYA YA BUS LA PRINCESS MURO ENEO LA MIKUMI MOROGORO.


Abiria wakiwa hawajui la kufanya baada ya ajali hiyo.
Magari yakiwa yamesimama ili kutoa msaada kwa abiria hao.


BASI LA KAMPUNI YA PRINCESS MURO LIMEPATA AJALI NA KUPINDUKA KARIBU NA MBUGA YA WANYAMA MIKUMI ABIRIA KADHAA WAMEJERUHIWA.

HABARI KAMILI ITAKUJIA ENDELEA KUWA NASI

Post a Comment

emo-but-icon

item