A ZINATISHA: MHUDUMU WA KANISA HUKO MWANZA ALIVYOLIPUKIWA NA BOMU...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/a-zinatisha-mhudumu-wa-kanisa-huko.html
Damu
zimetanda mbele ya lango la kuingilia Rest House ya Kanisa la KKKT
Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria, mara baada ya tukio la kulipuka kwa
bomu katika Ushirika wa Kanisa Kuu Imani jijini Mwanza.

Kwa
ukaribu zaidi ni damu ya muhudumu wa rest house Bi. Bernadeta Alfred
aliyelipukiwa na bomu lililowekwa kwenye kifurushi alichokifungua ili
kubaini kilichokuwa ndani.

Hali tete.

Kishindo kikubwa kilitokea na kutoa sauti kubwa na moshi huku kikisambaza misumari mingi midogomidogo na kujeruhi vibaya mhudumu huyo hasa sehemu za miguuni na usoni.

Hali tete.

Kishindo kikubwa kilitokea na kutoa sauti kubwa na moshi huku kikisambaza misumari mingi midogomidogo na kujeruhi vibaya mhudumu huyo hasa sehemu za miguuni na usoni.