PICHA 18: Style za nywele za baadhi ya mastaa wa muziki Nigeria
Mastaa wa muziki ni watu ambao wanapenda kwenda na fashion kuanzia mavazi mpaka style za unyoaji. Kwa upande ...
https://samchardtz.blogspot.com/2016/11/picha-18-style-za-nywele-za-baadhi-ya.html
Mastaa
wa muziki ni watu ambao wanapenda kwenda na fashion kuanzia mavazi
mpaka style za unyoaji. Kwa upande wa mastaa wa Nigeria tumezoea kuona
wasanii kama Davido, Falz, Reekado
Banks, Korede Bello, Ycee, Iyanya, Phyno, Tekno, Wizkid, Banky W na Mr. Flavour wakibadili muonekano wao wa nywele mara kwa mara.
Banks, Korede Bello, Ycee, Iyanya, Phyno, Tekno, Wizkid, Banky W na Mr. Flavour wakibadili muonekano wao wa nywele mara kwa mara.
Leo Nov 14 2016 nimezinasa picha 18 za baadhi ya mastaa hawa wa Nigeria na style zao za nywele, unaweza kuzitazama hapa chini