Flatnews

MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU ATOLEA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA YA KUTENGULIWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

Kufuatia kuenea kwa nyaraka inayoonesha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg


Mrisho Gambo na Rais Magufuli

Kufuatia kuenea kwa nyaraka inayoonesha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg
Mrisho Gambo ametenguliwa na Rais katika nafasi yake hiyo ya ukuu wa mkoa.

Gerson Msigwa Mkurugenze wa Mawasiliano ya Rais ameitolea maelezo kuwa taarifa hiyo siyo ya kweli na amewataka watanzania waipuuze, kwani imetengenezwa na watu wenye nia ovu. SOMA ZAIDI HAPA

Post a Comment

emo-but-icon

item