Sakata la Makontena: Polisi Kwa Kushirikiana na TRA Wakamata Makontena 9
Maofisa wa Jeshi la Polisi Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA, wanayashikilia makontena 9 Mbezi Tanki Bovu baada ya ...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/12/sakata-la-makontena-polisi-kwa.html
Maofisa wa Jeshi la Polisi Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA, wanayashikilia
makontena 9
Mbezi Tanki Bovu baada ya kuyatilia shaka kuwa yalikuwa yanasafirishwa kinyememela usiku wa kumakia leo