Flatnews

PICHA ZA DIAMOND PLATNUMZ ALIPOUNGANA NA FAMILIA YAKE SOUTH AFRICA NA KUHUSU NYIMBO MPYA PIA.

seph   0 This Morning got us like... @princess_tiffah Ameandika Diamond.


 0


This Morning got us like... @princess_tiffah Ameandika Diamond.

Akaunti ya Tiffah ipo busy kuonesha maisha yao. “After a long day with my dad…..,” wameandika
Muimbaji  wa Nana aliyeenda nchini humo kwaajili ya maandalizi ya show ya BET Experience Africa, ametumia fursa hiyo kuonana tena na mchumba wake Zari The Bosslady na mwanae, Tiffah.


Instagram, Diamond Platnumz ameonesha picha akiwa na familia hiyo wakizunguka kwenye mitaa ya mji (ambao hakutaja ni upi).

“Out and about today,” ameandika Diamond. 



Na kuhusiana na nyimbo mpya inaonekana yupo karibuni kutoa nyimbo mpya baada yakuweka video fupi akiwa na mwanae nakuandika "Jus decided to dedicate this week to my Beautiful Daughter!! @princess_tiffah before i drop my Next Hit"
Ikimaanisha kuwa ameamua kujitolea wiki hii nzima kwaajili ya mwanae kabla yakuachia nyimbo mpya

Related

ENTERTAINMENT 271474378295027963

Post a Comment

emo-but-icon

item