Flatnews

STARS YAWASILI, KOCHA AAHIDI KUFANYA VIZURI KATIKA MCHEZO WAO DHIDI YA ALGERIA

                                Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Sal...


                              
 Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo wakitokea Malawi katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi. Katika mchezo huo
Stars ililala kwa bao 1 na kufanikiwa kusonga mbele kutokana na mchezo wa awali Stars kushinda bao 2-0 na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 ambapo itapambana na timu ya taifa ya Algeria. (Picha na Francis Dande)
 Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo wakitokea Malawi katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi. Katika mchezo huo Stars ililala kwa bao 1 nakufanikiwa kusonga mbele ambapo itapambana na timu ya taifa ya Algeria.  
 Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo 
Kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa akiwa na tabasamu baada ya kuwasili leo akityokea Malawi ambapo Stars ilipambana na Malawi. 

Related

SPORTS 6507599126184105573

Post a Comment

emo-but-icon

item