Picha za MAFURIKO Ya Lowawasaa Ruaha, Mikumi ni Balaa
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015
https://samchardtz.blogspot.com/2015/10/picha-za-mafuriko-ya-lowawasaa-ruaha.html
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Kulia) akiambiwa jambo na mgombea ubunge wa
jimbo la Mikumi Morogoro baada ya kuwasili katika viwanja vya Tem K2
Ruaha,Ijumaa 23/10/2015
Mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya
Mikumi Mhe. Edward Ngoyai Lowassa katika viwanja vya Tem k2,leo Ijumaa
23 Oktoba 2015