MAMA REGINA LOWASSA USO KWA USO NA MWANA DIASPORA, LIBERATUS MWANG'OMBE
Mama Lowassa alishangazwa na umati uliojitokeza baada ya taarifa ya masaa matutu kuwa atasimama Chimala. Mh. Mwang'ombe akitoa shuk...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/10/mama-regina-lowassa-uso-kwa-uso-na.html?m=0
Mama
Lowassa alishangazwa na umati uliojitokeza baada ya taarifa ya masaa
matutu kuwa atasimama Chimala. Mh. Mwang'ombe akitoa shukrani zake kwa
mama Lowassa kufika Mbarali alisema "Mbarali ina wapiga kura 143189 na
watu wa Mbarali wameonyesha kila dalili ya kutaka mabadiliko".
Mwang'ombe aliwaomba watu wa Mbarali wampeleke Dodoma akihutubia na
kuwasisitiza wajitokeze kwa wingi Jumapili, tarehe 18/10/2015 saa 3
asubuhi ambapo Mh. Lowassa atakuwa anaunguruma naye.
Mama Regina Lowassa leo alikuwa Chimala, Mbarali akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mbarali, Liberatus Mwang'ombe "Libe". Akiongea na wana Mbarali mama Lowassa amesema mwang'ombe ni kijana mweledi, msomi, na mwenye maono na Mbarali; hivyo basi amewaomba wana Mbarali wasimpoteze Mh. Mwang'ombe.
Mama Lowassa na Mh. Mwang'ombe katika ubora wao
Mh. Mwang'ombe anakubalika Mbarali, hapa umati ukiwa umezingira gari lake lisiondoke
Watu wa ,barali wanataka mabadiliko
Libe
anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia
fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania.
Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;
M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409
Au, wasiliana na:
Rehema Sarmet 301 367 9711
Lukresia 240 593 5973
Jabil 240 604 0574