RAIS MSTAAFU WA GHANA AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA ECOBANK TANZANIA JIJINI DAR
Rais Mstaafu wa Ghana Mhe. Jerry John Rawlings akisikiliza kwa makini taarifa fupi iliyosomwa mbele yake na Afisa mkuu wa ubalozi ...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/08/rais-mstaafu-wa-ghana-akutana-na.html
Rais
Mstaafu wa Ghana Mhe. Jerry John Rawlings akisikiliza kwa makini taarifa
fupi iliyosomwa mbele yake na Afisa mkuu wa ubalozi wa Ghana hapa
Tanzania Dr. Ken Kwaku kuhusiana na utendaji kazi wa Ecobank nchini
Ghana na bara la Afrika kwa ujumla na kuzungumzia mikakati ya kudumisha
uhusiano na kupanua wigo wa kibiashara kati ya Ghana na Tanzania.
(Katikati) ni Balozi wa Ghana nchini Kenya Mhe. Karim. Mkutano huu
uliandaliwa na Ecobank Tanzania ambapo ulifanyika katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam
(Wa
kwanza kulia) ni Mkurugenzi mkuu wa Ecobank nchini Tanzania Mr. Enoch
Osei-Safo pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo, wateja wa Ecobank na
wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini Rais mstaafu wa Ghana Mhe.
Jerry John Rawlings aliyekua akiongea kuhusiana na mikakati ya kupanua
wigo wa biashara kati ya Ghana na Tanzania kupitia benki hiyo. Mkutano
huu uliandaliwa na Ecobank Tanzania ambapo ulifanyika katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam
Rais
Mstaafu wa Ghana Mhe. Jerry John Rawlings akizungumza wakati wa mkutano
uliowakutanisha wafanyakazi wa Ecobank Tanzania, raia wa Ghana wanaoishi
nchini Tanzania, wateja wa Ecobank na wageni waalikwa jijini Dar es
salaam kuzungumzia mikakati ya kudumisha uhusiano na kupanua wigo wa
biashara kati ya Ghana na Tanzania. Mkutano huu uliandaliwa na Ecobank
Tanzania ambapo ulifanyika katika hoteli ya kimataifa ya Serena, Dar es
salaam
Wafanyakazi
wa Ecobank Tanzania wakimsikiliza kwa makini Rais mstaafu wa Ghana Mhe.
Jerry John Rawlings aliyekua akiongea na wafanyakazi wa Ecobank
Tanzania, raia wa Ghana wanaoishi nchini Tanzania, wateja wa Ecobank na
wageni waalikwa jijini Dar es salaam kuzungumzia mikakati ya kudumisha
uhusiano na kupanua wigo wa biashara kati ya Ghana na Tanzania. Mkutano
huu uliandaliwa na Ecobank Tanzania ambapo ulifanyika katika hoteli ya
kimataifa ya Serena, Dar es salaam
Wafanyakazi
wa Ecobank Tanzania kwenye picha ya pamoja na Rais mstaafu wa Ghana
Mhe. Jerry John Rawlings (katikati) mara baada ya kumaliza mkutano