JUVENTUS IMEZIBITISHA KUA NA HISTORIA YA KUMTANDIKA REAL MADRID BAADA YA KUICHINJA JANA
JUVENTUS baada ya kutinga fainali ya Uefa Champions League kwa ushindi wa jumla wa magoli 3-2 dhidi ya Real Madrid wali-tweet (pi...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/05/walicho-tweet-juventus-baada-ya.html?m=0
JUVENTUS
baada ya kutinga fainali ya Uefa Champions League kwa ushindi wa jumla
wa magoli 3-2 dhidi ya Real Madrid wali-tweet (pichani juu) wakionesha
furaha yao kuelekea mechi ya fainali itayochezwa juni 6 mwaka huu uwanja
wa Berlin'Olympiastadion.
Mechi
ya kwanza uwanja wa Juventus mjini Turin, Juve waliichapa Real Madrid
2-1 na jana usiku Santiago Bernabeu wametoka sare ya 1-1