Flatnews

SIMBA WAIJIBU MAPIGO YANGA, WAMSAINISHA PETER MWALYANZI WA MBEYA CITY

  SAA chache tu baada ya kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke kusaini miaka miwili kuitumikia Yanga, watani zao wa jadi...



 SAA chache tu baada ya kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke kusaini miaka miwili kuitumikia Yanga, watani zao wa jadi Simba wamejibu mapigo baada ya
kufanikiwa kuinasa saini ya kiungo mwingine wa City, Peter Mwalyanzi.

Mwalyanzi aliyekuwa muhimu kwa Mbeya City, leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2) kuitumia Simba mbele ya mwenyekiti wa kamati ya usajili, Zacharia Hans Poppe, makamu wake Kassim Dewji na mjumbe Collins Frisch.
Hili ni pigo kubwa kwa Mbeya City kwani Kaseke na Mwalyanzi walikuwa nguzo klabuni hapo na bado kuna taarifa za wachezaji wengine kutimka.
24 May 2015

0 comments:


Share




Related

SPORTS 216381707010577966

Post a Comment

emo-but-icon

item