Mastaa wa Bongo Movies, Kajala na Riyama Wamuunga Mkono Mabeste
“WAUNGWANA wangu wapendwa wangu Naomba kwahisani yako Pitia uzuri hayo maelezo ktk bango hakikisha haikupiti hii ...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/05/mastaa-wa-bongo-movies-kajala-na-riyama.html
“WAUNGWANA wangu wapendwa wangu Naomba kwahisani yako Pitia uzuri hayo maelezo ktk bango hakikisha haikupiti hii kama kweli wewe ni mzalendo pia onesha kuguswa na mtihani ambao unamkabili sasahivi kakayetu ndugu yetu mwenzetu Mabeste halafu sema hata mimi ni binadamu nisie kamilika matatizo mitihani na maradhi nimeumbiwa mimi.
Mimi nilishayabeba Haya kua kwaupende wangu maumivu niliopata hayaelezeki nikapata jibu kua pengine asingekua yeye leo hii ningeweza kua mimi ndio mwenye mtihani huu Naomba nawewe pia muungwana wangu u jiulize je ingekua kwa upande wako je?????
Mimi apa nitakuepo waungwana wangu....... Siku ya tarehe 10/5/105 JUMAPILI pale maisha club wapendwa wangu Naomba mjitokeze kwa wingi ili lengo lipate kutimia natanguliza shukran za dhati waungwana wangu wapendwa wangu..........!!!”-Riyama amendika kwenyeukurasa wake mtandaoni.
Kajala pia atakuwepo.