Flatnews

MAKAZI YA MICHAEL JACKSON'NEVERLAND YAINGIA RASMI SOKONI YAUZWA KWA DOLA MILIONI 100

Makazi maarufu ya marehem michael jackson yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza tangu kifo chake.

292899DB00000578-3101512-Everlasting_There_are_still_a_few_small_signs_that_the_property_-a-18_1432854494050

Nyumba hiyo ipo katika maeneo ya santa barbara califofnia,nchini marekani, makazihayo yanauzwa kwa dola za kimarekani milioni 100.
292899E700000578-3101512-Not_the_same_Neverland_pictured_2001_now_known_as_Sycamore_Valle-a-25_1432854494339
Makazi hayo yanauzwa na kampuni ya sotheby's and hilton & Hylandiliolipa deni alilokua akidaiwa MJ na kuyachukua, Yanaukubwa wa futi za mraba 12.000 na yamo katikati ya maziwa mawili huku nyumba ikiwa na vyumba 8.

Related

PHOTOS 4529295323076216745

Post a Comment

emo-but-icon

item