Flatnews

KISA MWENDOKASI, BALOTELLI AFUNGIWA KUENDESHA GARI KWA SIKU 28

Mshambuliaji asiyeisha vituko wa Liverpool, Mario Balotelli ametozwa faini ya pauni 800 pamoja na kufungiwa kuendesha gari kwa siku...


Mshambuliaji asiyeisha vituko wa Liverpool, Mario Balotelli ametozwa faini ya pauni 800 pamoja na kufungiwa kuendesha gari kwa siku 28.

Balotelli amekutana na adhabu hiyo baada ya kubainika aliendesha gari kwa kasi ya maili 109 kwa saa. Sheria ikafuata mkondo wake kupitia wahusika nchini England.


Muitaliano huyo alifanya hivyo na alipokamatwa akakubali kosa hilo wakati akiendesha gari lake la kifahari aina ya Ferrari lenye thamani ya pauni 240,000.

Related

NEWS 2696598552177772068

Post a Comment

emo-but-icon

item