FELLA AMKABIDHI GARI MMOJA WA WASANII WA KUNDI LA YAMOTO BAND (ASLAY)
Msanii wa Yamoto Band amepata gari yake ya kwanza kama msanii May 7 2015 na kwenye hizi picha anaonekana akikabidhiwa funguo na man...
https://samchardtz.blogspot.com/2015/05/fella-amkabidhi-gari-mmoja-wa-wasanii.html
Msanii wa Yamoto Band amepata gari yake ya kwanza kama msanii May 7
2015 na kwenye hizi picha anaonekana akikabidhiwa funguo na manager wa
Mkubwa na wanawe Said Fella.
“Asante mungu Kwa kunipa uhai Na kipaji ambacho leo hii kina fanya naitwa Aslay pia nakushukuru kwa kunifikisha kwenye mikono Ya mtu mwenye moyo wa kibinaadamu. Najua kuna mengi makubwa ambayo boss wangu @mkubwafella umenifanyia ambayo si vyema kuyataja yote kwasababu wakati wake haujafikia ila naomba nichukue fulsa hii kukushukuru kwa hiki ulichonifanyia leo katika sherehe Ya kusherehekea siku yangu Ya kuzaliwa umenifanya nijione mwenye thamani kubwa duniani sikutegemea kama leo itakuwa siku yangu ya kumbukumbu ambayo sitoweza kuisahau hata Nije kuwa bilionea @mkubwafella asante kwa kunipa hii zawadi ambayo mimi kama mimi sikuiwazia kabisa kama Leo nitapata gari Na ninaushukuru uwongozi mziki Wa #mkubwanawanawe pamoja na manager wangu @chambusso boss wangu @babutale @mhtemba na mama yangu @sweatfella bila kuwasahau wasanii wenzangu wa @yamoto_band mungu ndie atakaewalipa … Nawatakia usiku mwema woote na Watu wa Dodoma Tukutane kesho pale Matei ”