Flatnews

DIAMOND NA ZARI THE BIG BOSS LADY WARUDI DOWN TOWN KWAJILI YA KUWEKA HISTORIA MLIMANI CITY LIVE

Diamond Platinums akiwa na Mpenzi wake Zari mara tu baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wakitokea Zanzibar ambao Diamond Alifanya Show ...


Diamond Platinums akiwa na Mpenzi wake Zari mara tu baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wakitokea Zanzibar ambao Diamond Alifanya Show Bab kubwa na Kuacha Historia katika Maeneo yote ya Zanzibar.Wawili hao wamewasili Dar tayari kwa Maandalizi ya Mwisho ya Show Kubwa ya Zari Ijulikanayo Kama White Party Itakayofanyika Mwishoni Mwa wiki katika Ukumbi wa Mlimani City.

Related

UDAKU 7524488870925104582

Post a Comment

emo-but-icon

item